Msamiati wa Kiswahili : Je, kwa kutumia maneno mazito tunafikisha ujumbe?
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2013-08-06
Просмотров: 24814
Описание:
Hivi ndivyo insha za wanafunzi wetu zinavyoandikwa;
Nilikurupuka purukupuruku kutoka usingizini, ilikuwa ni alfajiri kangaichi nikiwa mzima hadidi mithili ya ngarange ya mvule. Nilikuwa nimechangamka na kukaramka mithili ya kibogoyo aliyeota magego na sagego angalau ya kutafunia ubwabwa.
Niliposikia mkilizi wa kengele nilichapuka chapuchapu na kuelekea shambani ambako nyuni wa angani walikuwa wakikorokocha kwa sauti zao za ajabu zilizoniwacha waa! Kinywa wazi!
Je, mtazamaji umeshika lolote? Hiki ndicho kiswahili mambo leo wanachofunzwa wanafunzi wetu shuleni. Frank otieno na taarifa ifuatayo kuhusiana na utata wa somo la Kiswahili
Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: