ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo!

Автор: How to Start Business Channel

Загружено: 2025-07-24

Просмотров: 581

Описание: UNAWEZA KUAMINI KAMA NINGEKWAMBIA unaweza kuanzisha biashara ya huduma za usafi na kukupa pesa nyingi kwa kutumia chini ya shilingi MILIONI MOJA?

Wengi wanafikiri unahitaji mamilioni na ofisi ya kifahari ili ufanikiwe kuanzisha biashara ya huduma za usafi kwenye ofisi.

Huo ni UONGO MTUPU! Imani hii imewavunja moyo maelfu ya watu wenye ndoto, wakisha kujiuliza, “Hizo milioni za kuanzisha biashara ya huduma za usafi nitapata wapi?”

LEO, TUNA ACHA HIYO HADITHI! Nataka nikuonyeshe jinsi watu wa kawaida KAMA WEWE wanavyo tumia kile kidogo walicho nacho na kutengeneza faida KUBWA!
Kwenye video hii, nitakupa biashara ya huduma za usafi ambayo imethibitishwa kuleta faida kubwa kwa mtaji mdogo.

How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri.
Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara.
Pia tunatoa elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara.
Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara.
Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara.
Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja.
Tuna siitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao. Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara.
Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara.
How to Start Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television

1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook:   / tanbusiness  
Instagram:   / tanbusiness  
YouTube:    / alimwambola  
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi ya kuanza biashara ya huduma za usafi na mtaji mdogo!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

NAMNA YA KUANZA BIASHARA. Hizi ni hatua ambazo unaweza kuzitumia kuanza biashara.

NAMNA YA KUANZA BIASHARA. Hizi ni hatua ambazo unaweza kuzitumia kuanza biashara.

Fursa ujasiriamali katika usafi

Fursa ujasiriamali katika usafi

SIRI 4 ZA UTAJIRI  BIASHARA YA MCHELE! (Week ya Nafaka) Episode 1 #mchele #nafaka #faida

SIRI 4 ZA UTAJIRI BIASHARA YA MCHELE! (Week ya Nafaka) Episode 1 #mchele #nafaka #faida

Sheria Talk: Muongozo wote wa jinsi ya kufungua kampuni Tanzania

Sheria Talk: Muongozo wote wa jinsi ya kufungua kampuni Tanzania

#Jagina  Evelyn Ulanga  alivyojipata na biashara ya usafi.

#Jagina Evelyn Ulanga alivyojipata na biashara ya usafi.

FAHAMU TARATIBU ZA USAJILI WA KAMPUNI NA FAIDA ZAKE

FAHAMU TARATIBU ZA USAJILI WA KAMPUNI NA FAIDA ZAKE

Kuanzisha Kampuni ndani ya Mwaka Mmoja Kuajiri zaidi ya Wafanya kazi 50

Kuanzisha Kampuni ndani ya Mwaka Mmoja Kuajiri zaidi ya Wafanya kazi 50

Kutana na Kijana aliyeuza chips na chapati mpaka kufungua Kampuni ya magari

Kutana na Kijana aliyeuza chips na chapati mpaka kufungua Kampuni ya magari

JINSI YA KUPATA JINA ZURI LA BIASHARA AU KAMPUNI YAKO - Victor Mwambene.

JINSI YA KUPATA JINA ZURI LA BIASHARA AU KAMPUNI YAKO - Victor Mwambene.

Fahamu biashara za mtaji mdogo zenye faida kubwa: chakula ofisini

Fahamu biashara za mtaji mdogo zenye faida kubwa: chakula ofisini

Nafanya kazi ya usafi wa aina zote majumbani, hotelini na maofisini - MWANAMKE WA SHOKA  Agnes Kaguo

Nafanya kazi ya usafi wa aina zote majumbani, hotelini na maofisini - MWANAMKE WA SHOKA Agnes Kaguo

17 МЕГА ПРИБЫЛЬНЫЕ СТАНКИ из Китая | мини ПРОИЗВОДСТВО | Бизнес идеи 2024 2025 в ГАРАЖЕ Оборудование

17 МЕГА ПРИБЫЛЬНЫЕ СТАНКИ из Китая | мини ПРОИЗВОДСТВО | Бизнес идеи 2024 2025 в ГАРАЖЕ Оборудование

8 машин, которые сделают тебя БОГАТЫМИ! / Бизнес идеи 2026

8 машин, которые сделают тебя БОГАТЫМИ! / Бизнес идеи 2026

Biashara 4 unazoweza kufanya ukiwa muajiriwa. 4 side hustles unazoweza kufanya ukiwa umeajiriwa.

Biashara 4 unazoweza kufanya ukiwa muajiriwa. 4 side hustles unazoweza kufanya ukiwa umeajiriwa.

Namna ya kutengeneza Zaidi ya Million 20, kwenye biashara/Ufugaji wa Mbuzi.

Namna ya kutengeneza Zaidi ya Million 20, kwenye biashara/Ufugaji wa Mbuzi.

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

Kutana na mrembo msomi anayepiga 'deki' nyumbani, ofisini

Kutana na mrembo msomi anayepiga 'deki' nyumbani, ofisini

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI - Hatua za kuchukua wakati wa kuanzisha biashara mpya

MAFUNZO YA UJASIRIAMALI - Hatua za kuchukua wakati wa kuanzisha biashara mpya

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

«ВАШ ПЕРЕВОДЧИК ЛЖЁТ!» — официантка ПРЕДУПРЕДИЛА CEO-МИЛЛИОНЕРА перед тем, как он ПОДПИСАЛ…

«ВАШ ПЕРЕВОДЧИК ЛЖЁТ!» — официантка ПРЕДУПРЕДИЛА CEO-МИЛЛИОНЕРА перед тем, как он ПОДПИСАЛ…

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]