Hili hapa agizo alilotoa Magufuli enzi za uhai wake Handeni Tanga
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-03-22
Просмотров: 1404
Описание:
Katika kuendelea kukumbuka matukio makubwa aliyoyafanya hayati Rais John Magufuli mwaka 2017 Julai akiwa wilayani Handeni mkoani Tanga,aliagiza kukamatwa Mkandarasi aliyekuwa anachimba mabwawa ya Manga,Mkata na Kwandugwa kukamatwa kutokana na kufanyakazi chini ya kiwango.
Akiongea na wakazi wa wilaya ya Handeni akitoa Korogwe hayati Rais John Magufuli alisema fedha ya serikali haichezewi,amepata taarifa za wakandarasi hao hivyo kuagiza kwa kutumia fedha zao wenyewe warudi na kuanza ujenzi wa mabwawa hayo yaliogharimu zaidi ya shilingi 2 bilioni.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: