Zaidi ya wanafunzi 100 katika shule ya St Patricks Makunga wataabika
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-01-15
Просмотров: 2877
Описание: Ikiwa ni siku ya tatu kwa wanafunzi w akidato cha kwanza kujiunga shule za sekondari, huenda zaidi ya wanafunzi 100 katika shule ya St Patricks Makunga katika kaunti ya Trans Nzoia wakakosa kujiunga na shule hiyo baada ya usimamizi wa shule kuwataka kubadilisha shule kwa madai kuwa shule hiyo haitakuwa ya mabweni kama ilivyokuwa imeratibiwa awali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: