TATIZO LA ASIDI,VIDONDA VYA TUMBO,GERD,REFLUX: MAELEZO YA KINA,FUATILIA MPAKA MWISHO UPATE ELIMU HII
Автор: Doktamathew
Загружено: 2024-01-02
Просмотров: 18440
Описание:
🌟 KARIBU KWENYE CHANNEL YAKO YA AFYA PENYE UKWELI PASIPO KIFICHO!
Jamii yetu imejaa kelele za afya lakini ukweli mara nyingi huwekwa kapuni.Watu wengi bado wanaamini kuwa magonjwa ni malaria typhoid na UTI tu na hapo ndipo matatizo huanzia.Lakini hapa tunaivunja hiyo minyororo ya ujinga!
👉 Hii ni channel ya afya kwa watu wanaotaka ukweli si hadithi si tetesi wala si matangazo ya mtaani.
Utakutana na maelezo ya moja kwa moja kuhusu:
Magonjwa ya kawaida na magonjwa adimu
Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake
Ukweli kuhusu dalili, uchunguzi na tiba
Siri za kiafya ambazo hazifundishwi popote
Elimu ya kinga kabla ya tiba – na tiba yenyewe ikiwepo!
🎯 Ukijua, unajiokoa. Ukishirikisha, unaokoa wengine.
Karibu kwenye familia ya wanaojifunza bila kificho hapa tunasema ukweli hata kama unauma.
🛎️ SUBSCRIBE sasa hivi ili usipitwe na kila kipande cha maarifa kinachopandishwa hapa.
👥 Ukiona kuna faida mshirikishe rafiki ndugu na hata jirani!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: