Shaff Dauda Aichambua ki undani katiba Mpya ya Simba
Автор: banyaleotv
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 3230
Описание:
#katibampyayasimba
#shaffdauda
#banyaleotv
Nini kinafuata baada ya Simba kupokea katiba mpya?
Kwenye maboresho ya Katiba Mpya ya Simba Sports Club imesema mali za Klabu zitakuwa zinamilikiwa na Baraza la Wadhamini kwa niaba ya wanachama badala ya Simba Holding.
Mchakato wa mabadiliko ukikamilika mali zote za Klabu zisizohamishika zitabaki kwenye Baraza la Wadhamini.
Baraza la Wadhamini la Simba Sports Club litaundwa na wajumbe kuanzia watano (5) hadi saba (7).
Katiba Mpya ya Simba Sports Club ya sasa haimtambui Muwekezaji mmoja bali inawatambua Wawekezaji, Katiba inaruhusu wawekezaji watatu.
Baada ya leo Simba SC kukabidhiwa Katiba yao mpya kinachofuata ni kusajili Katiba ya Bodi ya Wadhamini ambao watakuwa ndio wanamiliki mali za Klabu ya Simba kwa niaba ya wanachama.
Unamaoni gani baada ya Mnyama kupokea Katiba yake? Unaziona nchi ya ahadi hivi karibuni?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: