namna ya kuzalisha vifaranga wa bata kwa wingi muda mfupi
Автор: sutta poultry farm TANZANIA
Загружено: 2025-11-09
Просмотров: 465
Описание:
Karibu Sutta Poultry Farm Tanzania 🐥
Katika video hii, utaona hatua kwa hatua jinsi vifaranga wa bata wanavyozaliwa kwa kutumia incubator — kutoka kuweka mayai, kudhibiti joto na unyevu, hadi kuona vifaranga wakitoka kwenye maganda!
Tunakuonyesha:
Jinsi ya kuandaa incubator kwa mayai ya bata 🥚
Muda unaochukua mayai ya bata kuanguliwa
Makosa ya kuepuka unapotumia incubator
Vidokezo vya kuhakikisha vifaranga wanatoka salama na wenye afya
Ufugaji wa bata kwa kutumia incubator ni njia ya kisasa na rahisi kuongeza uzalishaji wako wa bata nyumbani au kwa biashara. 🌿
Tazama hadi mwisho ujifunze siri za mafanikio kutoka Sutta Poultry Farm 💪
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: