Tamko la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania
Автор: BMG ONLINE TV
Загружено: 2018-04-15
Просмотров: 6912
Описание:
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu tamko la serikali kuwarejesha kazini watumishi wa darasa la saba kurejeshwa kazini.
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Said Yusuph Kipande amesoma tamko hilo mbele ya wanahabari kwenye kikao cha madereva wa serikali tawi la Mwanza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: