Ungejua ungetumia Binzari manjano Tu kwa kuku wako/ How turmeric powder Cures many diseases.
Автор: BAMUJOSI TV
Загружено: 2025-03-19
Просмотров: 15042
Описание:
UNGEJUA UNGETUMIA BINZARI MANJANO TU KWA KUKU WAKO.
Binzari manjano ina uwezo mkubwa wa Kutibu magonjwa yote sugu kwa kuku kama vile mafua makali yaliyoshindikana, uvimbe, kuongeza Kinga ya mwili, kuua vimelea vingi vya magonjwa, n. k katika video hii, utajifunza jinsi ya kuandaa Binzari manjano kama tiba na namna ya kutibu mafua makali, kuondoa usugu wa bacteria uliosababishwa na utumizi wa mara kwa mara wa madawa ya madukani na kumfanya Kuku wako apone kabisa, karibu ujifunze zaidi.
THIS VIDEO EXPAINS IN DETAILS ON HOW TURMERIC POWDER CURES MANY DISEASES in poultry including chronic respiratory diseases and infectious coryza in poultry, welcome to learn more.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: