Waziri wa Afya Aden Duale aeleza Seneti kuhusu maendeleo ya SHA
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 424
Описание: Waziri wa Afya Aden Duale amepuuza madai kwamba shillingi billioni Kumi na moja pesa za umma zimefujwa katika Bima ya Afya ya SHA akisema kwamba ni pesa zilzodaiwa kwa njia isiyofaa na hospitali tofauti na kwamba ni pesaa ambazo hazitalipwa iwapo stakabadhi zitapatikana kuwa ghushi. Aidha, duale Ametangaza kwamba SHA Italipa gharama ya shillingi Laki Tano kwa Wagonjwa ambao watapokea matibabu katika hospitali za nje ya nchi ila hospitali hizo ni sharti ziwe na Mkataba wa Kudumu na SHA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: