0. Course ya Python Kwa Wanaoanza ( Mwanzo )
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2024-01-03
Просмотров: 7599
Описание:
Python kwa Beginner: Jinsi ya kuanza
Karibu kwenye video ya kwanza ya course ya Python kwa Beginner. Katika video hii, tutafahamishana course hii na kuona jinsi ya kujua kama tayari una Python kwenye Computer yako kwa wale watumiaji wa Windows.
Na video hii ni mwanzo tu wa video za kozi hii ya python programming language ittakayotolewa hapa hapa katika channel yangu ya Youtube.
Kama wewe ndio kwanza unaanza kujifunza python programming basi course hii ni muhimu kwako na siyo ya kukosa.
Jinsi ya KuDownload Python 👇
• Download and Install Python step by step |...
Jinsi ya KuInstall Python 👇
• Download and Install Python step by step |...
Jinsi ya Ku Install VSCode Editor 👇
• Installing Visual Studio Code | Step by st...
Karibu katika channel yangu!
Ninaitwa Mohamed Hafidh, na ninafurahi kuwa nawe hapa.
Kwenye channel yangu, utapata video za kuvutia kuhusu mambo mengi, ikiwa ni pamoja na teknolojia, afya, mazingira, sayansi, motisha, na mengi zaidi.
Ninaamini kwamba kila mtu ana uwezo wa kujifunza na kukua, na ninatumai video zangu zitakusaidia kufikia malengo yako.
Ili kupata taarifa mpya za video zangu, tafadhali:
👉 Bonyeza kitufe cha subscribe
👉 Washa kengele ili upate taarifa za video mpya
Pia, unaweza kunifuata kwenye mitandao ya kijamii ili kujua zaidi kuhusu mimi na kazi yangu.
Natumai utapata manufaa katika video zangu, na ninashukuru kwa kuwa sehemu ya community yangu!
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mimi, tafadhali tembelea:
Instagram: / mohamedhafidh_tz
Tiktok: / mohamedhafidh_tz
#python #pythonprogramming #jifunze
Youtube
https://www.youtube.com/@mohamedhafid...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: