Kikao Kazi na Mhe. Mhandisi Hamad Masauni (Mb) 22.11.2024
Автор: Mamlaka Ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Загружено: 2024-11-22
Просмотров: 15
Описание:
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni (Mb) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kikao-kazi cha wadau wa mawasiliano kuhusu kukabili suala la uhalifu mtandaoni tarehe 22 Novemba 2024, katika Ukumbi wa Ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam.
Ameelezea uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha kudhibiti uhalifu wa mtandao kama mojawapo ya Maazimio ya kikao hicho. ni pamoja na kuundwa kwa kikosi-kazi
#tcratz #nihasisana #UsalamaMtandao @jerrysilaa @wizarahmth @maryprisca_mahundi @wizaramnn @bankoftanzania_
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: