TAZAMA VIJANA WA BWERI STAND WALIVYO NA VIBE KUELEKEA KONGAMANO LA MABADILIKO YA KIUCHUMI 16 DEC
Автор: mgoremiraji
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 93
Описание:
Mbunge wa jimbo la Musoma mjini Mhandisi Mgore Miraji Kigera ameanzisha mpango mkubwa wa kuhakikisha vijana wa Musoma mjini wanainuka kiuchumi na kujiajiri kwa kuwapa ujuzi, maarifa na kuwaonesha fursa waweze kujiajiri
Hii itafanyika kupitia kongamano kubwa la vijana litakalofanyika ukumbi wa mwembeni complex ulioko Manispaa ya Musoma mkoani Mara ambapo kutakuwa na wawezeshaji mbalimbali watakao toa mada za kuchechemua ari za vijana na kuwajengea uwezo ili kupata morali ya kuanza ipya na kujitafuta katika vipawa walivyo navyo, na hatimaye kuelekeza nguvu kubwa kwenye ofa ya mhe. Mbunge ya kupata mafunzo latika chuo cha ufundi stadium VETA MARA.
#MitanoyaUhakika👋
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: