ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

UKWELI KUHUSU NYOKA KWENYE BUSTANI YA EDENI.

Автор: SIRI ZA BIBLIA

Загружено: 2020-10-12

Просмотров: 10164

Описание: #SIRIZABIBLIA#MWANZO#UUMBAJI#BIBLIA#MUNGU
Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia. Dunia ilikuwa bila umbo na tupu. Giza lilikuwa limefunika vilindi vya maji na roho ya Mungu ilikuwa ikitanda juu ya maji.
Mungu akasema, “Mwanga uwe.” Mwanga ukawa. Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, mwanga akauita “Mchana” na giza akaliita “Usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya kwanza.
Mungu akasema, “Anga liwe katikati ya maji, liyatenge maji sehemu mbili.” Mungu akalifanya anga, akayatenga maji yaliyo juu ya anga na yale yaliyo chini ya anga hilo. Ikawa hivyo. Mungu akaliita anga “Mbingu.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya pili.
Mungu akasema, “Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, nchi kavu itokee.” Ikawa hivyo. Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.
Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Basi, nchi ikaotesha mimea izaayo mbegu kwa jinsi yake, na miti izaayo matunda yenye mbegu kwa jinsi yake. Mungu akaona kuwa ni vyema. Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tatu.
Mungu akasema, “Mianga na iweko angani, itenge mchana na usiku, ioneshe nyakati, majira, siku na miaka, na ingae angani na kuiangazia dunia.” Ikawa hivyo. Basi, Mungu akafanya mianga miwili mikubwa; ule mkubwa utawale mchana na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia. Mungu akaiweka mianga hiyo angani iiangazie dunia, ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya nne.
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.” Basi, Mungu akaumba wanyama wakubwa sana wa baharini na aina zote za viumbe vyote hai viendavyo na kujaa majini; akaumba na aina zote za ndege wote. Mungu akaona kuwa ni vyema. Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tano.
24Mungu akasema, “Nchi na itoe aina zote za viumbe hai, wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo na wanyama wa porini wa kila aina.” Ikawa hivyo. Basi, Mungu akafanya aina zote za wanyama wa porini, wanyama wa kufugwa, na viumbe vitambaavyo. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Kisha Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa, dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.” Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke. Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UKWELI KUHUSU NYOKA KWENYE BUSTANI YA EDENI.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!!

DENIS MPAGAZE: Mfahamu Mwanamalundi / Mwanaume Aliyekausha Miti kwa Kidole Wanawake Wakapata Kuni!!

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU

#Mkasa wa Dereva Lori aliyemkanyaga Nyoka Mlima Kitonga /Akumbwa na  tabu na Mateso.

#Mkasa wa Dereva Lori aliyemkanyaga Nyoka Mlima Kitonga /Akumbwa na tabu na Mateso.

ISRAELI NA UKWELI USIOJULIKANA // AHADI INAYOTIMIA SASA

ISRAELI NA UKWELI USIOJULIKANA // AHADI INAYOTIMIA SASA

Ешьте ЭТО каждое утро: сосуды очистятся, а давление придет в норму после 50 лет

Ешьте ЭТО каждое утро: сосуды очистятся, а давление придет в норму после 50 лет

VITENZI VYA KIINGEREZA: SOMO LA 11

VITENZI VYA KIINGEREZA: SOMO LA 11

NGUVU YA ASILI - Joseph Mlindoko (Part One)

NGUVU YA ASILI - Joseph Mlindoko (Part One)

LILITH- MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA EDENI NA KUMDANGANYA EVA

LILITH- MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA EDENI NA KUMDANGANYA EVA

KISA CHA KICHOCHORO CHA KWENDA PEPONI (Simulizi Ya Mnara Wa Babeli)

KISA CHA KICHOCHORO CHA KWENDA PEPONI (Simulizi Ya Mnara Wa Babeli)

#LIVE: USIJICHUKIE TAFADHALI,NI MCHAKATO WA HATUA ZA MAISHA // DAY 16

#LIVE: USIJICHUKIE TAFADHALI,NI MCHAKATO WA HATUA ZA MAISHA // DAY 16

Jak jeden burger zniszczył Roxette?

Jak jeden burger zniszczył Roxette?

KABLA YA KUOMBA,FAHAMU KWANZA MUNGU ALIPO

KABLA YA KUOMBA,FAHAMU KWANZA MUNGU ALIPO

Bustani ya EDEN imepatikana? Yazidi kutafutwa mahali ilipo, Siri za kushangaza zilizofichuliwa

Bustani ya EDEN imepatikana? Yazidi kutafutwa mahali ilipo, Siri za kushangaza zilizofichuliwa

MWISHO WA DUNIA UNA MAMBO MAZITO YA KUTISHA...!!

MWISHO WA DUNIA UNA MAMBO MAZITO YA KUTISHA...!!

Бык Напал На Фермера И Прижал Его Рогами К Стене! То, Что Случилось Дальше, Шокировало Всех!

Бык Напал На Фермера И Прижал Его Рогами К Стене! То, Что Случилось Дальше, Шокировало Всех!

BABELI:MJI WA KWANZA KUJENGWA BAADA YA GHARIKA/NIMRODI

BABELI:MJI WA KWANZA KUJENGWA BAADA YA GHARIKA/NIMRODI

KUFANYA HIVI SIO DHAMBI // USIOGOPE KUULIZA

KUFANYA HIVI SIO DHAMBI // USIOGOPE KUULIZA

⚠️ Prohibido Para Sensibles: Así Sería una Guerra Nuclear Minuto a Minuto

⚠️ Prohibido Para Sensibles: Así Sería una Guerra Nuclear Minuto a Minuto

ПРОРОЧЕСТВО МАТРОНЫ МОСКОВСКОЙ! КРЕЩЕНИЕ 2026 СТАНЕТ ПОСЛЕДНИМ? ОБЯЗАТЕЛЬНО ПОСМОТРИ ПЕРЕД КУПАНИЕМ!

ПРОРОЧЕСТВО МАТРОНЫ МОСКОВСКОЙ! КРЕЩЕНИЕ 2026 СТАНЕТ ПОСЛЕДНИМ? ОБЯЗАТЕЛЬНО ПОСМОТРИ ПЕРЕД КУПАНИЕМ!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]