ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda, Aridhishwa na Kasi ya Ujenzi Nyumba 5000 za Makazi Msomera

Автор: Ulinzi Channel

Загружено: 2024-01-20

Просмотров: 23609

Описание: Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa nyumba 5000 za makazi ya wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kuja Msomea Handenj Tanga. Mradi huo unatekelezwa na Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)

Akikagua mradi huo, Jenerali Mkunda amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo n namna Vijana wa JKT wanavyoutekeleza mradi huo kwa weledi mkubwa.

Aidha ametoa rai kwa watendaji wote katika Mradi huo kuendelea kutekeleza mradi huo kwa uzalendo mkubwa ili uweze kukidhi na kufikia matarajio ya Serikali.
Vile vile, Mkuu wa Majeshi amewapongeza vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa na amewataka kuendeleza morali ya kufanya kazi kwani huo ndio moyo wa kizalendo kwa Taifa lao.

#jwtz #jkt

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob Mkunda, Aridhishwa na Kasi ya Ujenzi Nyumba 5000 za Makazi Msomera

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MKUU WA MAJESHI ASHUHUDIA UWEZO WA ASKARI WAPYA WAKIRUKA VIKWAZO WAKATI WA KUFUNGA MAFUNZO YAO

SIMULIZI YA MWAKA MMOJA YA MAMA ALIYEPEWA MILLION 100 MSOMERA,ALIHAMA NGORONGORO

SIMULIZI YA MWAKA MMOJA YA MAMA ALIYEPEWA MILLION 100 MSOMERA,ALIHAMA NGORONGORO "NIMEPITA GUNIA 60"

UAPISHO, Jionee Tukio la Kuapishwa Mkuu wa Majeshi Jacobo Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi

"ЦЕЗАРЕМ" ПО ПІД*РАХ! Французька самохідна артустановка 147-ї ОАБр ДШВ працює під Покровськом

Позиции и тела российских военных. Откуда ВСУ наступали на Херсон? | Крым.Реалии

Начальнику штаба армии поручено нести факел к горе Килиманджаро, и он решительно принимает приказ...

TAZAMA Mapokezi ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda

«Тут техніки стояло стільки, що я не знаю, чого вони так тікали». Як  відвойовують позиції в росіян

Почему «вагнера» вплотную подходили к украинским позициям? | Крым.Реалии

Nyakinama: 12th Intake of Senior Officers from RDF, National Police & Allied Armed Forces Graduate

MKUU WA MAJESHI  NCHINI ETHIOPIA AFURAHISHWA NA SHUGHULI ZA SHIRIKA LA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Usalama wa Taifa/Tiss; Historia fupi na wakurugenzi wote 9 walioiongoza idara hyo tangu uhuru (1961)

NDANI ya KAMBI ya JESHI la JWTZ - JENERALI MKUNDA ALIVYOWAAGA KIJESHI MAAFISA JENERALI WASTAAFU...

🔥ЦЕ мають побачити ВСІ! Гляньте, як ЗБИВАЮТЬ ШАХЕДИ. ЕКСКЛЮЗИВНІ кадри вражають @DWUkrainian

Вознесенск-Приднестровье: был план отрезать весь юг Украины | Крым.Реалии

Kolejny potężny atak amerykańskiego B-2 na Iran – jeszcze większe uderzenie!

MFUGAJI ALIYEHAMISHA SHULE KUTOKA NGORONGORO HADI MSOMERA ATUMA SALAM KWA RAIS SAMIA

Tazama shangwe la Wabunge kwa Mkuu wa Majeshi, CDF Mkunda

Jinsi Rais Samia alivyotua na helicopter Mwanza

ITAKULIZA! SWEBE SANTANA ATOKWA MACHOZI - KISA SSEBO -

ITAKULIZA! SWEBE SANTANA ATOKWA MACHOZI - KISA SSEBO - "ALIKUWA MTU MZURI -ALIPENDA WATU WAFANIKIWE"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]