VIDEO MAREKANI: NDEGE MPYA ya TANZANIA ILIVYORUSHWA na RUBANI MWANAMKE AKIILETA TANZANIA...!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2023-06-03
Просмотров: 18715
Описание:
VIDEO MAREKANI: RUBANI MWANAMKE AKIIPAISHA NDEGE KUBWA ya MIZIGO AKIILETA TANZANIA KUANZA KAZI...
Captain Neema ndiye aliyepewa dhamana ya kuirusha ndege kubwa mpya ya mizigo iliyonunuliwa na nchi ya Tanzania aina ya BOEING 767-300F AIR TANZANIA CARGO kutoka nchini Marekani hadi Tanzania na kuishusha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: