CHUO CHA FITI KINAENDELEA NA UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
Автор: Fiti_ Moshi TV
Загружено: 2025-08-09
Просмотров: 67
Описание: Chuo cha Viwanda vya misitu FITI kinaendelea na udahili wa Wanafunzi wanaotaka kuwa wabobevu katika Sekta ya misitu na matumizi sahihi ya mazao ya misitu katika maonesho ya Sikukuu ya wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tembelea banda letu Ili upate kufahamu namna ya kujiunga na Chuo chetu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: