kral boy - business (official video mp4)
Автор: Kral boy
Загружено: 2025-01-12
Просмотров: 7755
Описание:
#kralboy #business #Dragon
▶️ INTERPRETE : kral boy
▶️ TITRE : business
▶️ BEAT MAKER : AIBI AWEEH
▶️ MIX MASTERING : AIBI AWEEH
▶️ LABEL - Management : bado music
----
RÉSEAUX SOCIAUX 🔽
▶️ Facebook : / kral boy
▶️ Instagram : / kral boy
▶️ TikTok : / kral boy
lyrics 🛣️
Maisha niku panda na kushuka mama aliniambia kijana pambana uta jioneya afu uta niambia
penye riziki apikosi chuki na fitina piya utaenda sehemu utaomba kiti wata kupa beer
Siku nyengine heee ukitokeyaaah ona kalevi kale kana kuya
pambana heee usijali riziki ina kuya tena na mungu njo atakupa tena na mungu njo ata Kupa onanana
Ubambiliye kazi yako we iyo mateso yote niya muda
Tulikomala kumitayi ya bitumbula na kukata nywele riziki mafungu Saba mola ana towa maisha sio kelele
Ref....
Iyi njo business ina ni fanya ni business ni ishi ivi ni Business music my Business
Iyi njo business ina ni fanya ni business ni ishi ivi ni Business music my Business
Enzi walisema kwamba akuna furaha bila kuyaona machungu WE amini kwenye ndoto zako huku uki muomba mungu
WE ni machinga Léo kesho unaweza itwa kapongo
Wapo wanao ishi kahinda Léo juzi walikuwa kapulo
Po yalelo eza ya Lobi Teo soki ekomi koboyateo
pambana heee usijali riziki inakuya tena na mungu njo atakupa tena na Mungu njo ata Kupa onanana
ubambiliye kazi yakowe iyo mateso yote niya muda
Tulikomala kumitayi ya bitumbula na kukata nywele riziki mafungu Saba mola ana towa maisha sio kelele
Ref.......
Iyi njo business ina ni fanya ni business ni ishi ivi ni Business music my Business
Iyi njo business ina ni fanya ni business ni ishi ivi ni Business music my Business
Ni pambane kama Gk Gérard Raphaël kisimba tshimix tchimanga gulain fauvette mwenye bulongo Bonfils kateko a Bosco btc oya iyi
Pro: audio/#aibi_the_beat
Direct : vidéo/ #mill_key
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: