BULAYA AWAKA BUNGENI | AWAKINGIA KIFUA WASTAAFU | ALIA NA KIKOKOTOO KUWA NI JANGA
Автор: Zamaradi TV
Загружено: 2024-04-04
Просмотров: 6879
Описание:
Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameliambia bunge kuwa kikokotoo cha wastaafu bado ni janga akiiomba serikali kukaa mezani na wastaafu kujadili namna bora ya kuwapa mafao yao kutoka asilimia 33 iliyopo hivi sasa hadi asilimia 50 kwa mkupuo.
Usisahau ku"SUBSCRIBE" YouTube channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: