IRAN YAKAMATA MAJASUSI 20 WANATOA TAARIFA KWA ISRAEL NA MAERKANI - YAAPA KUMWUA NETANYAHU 📍IRAN
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 5182
Описание:
IRAN YAKAMATA MAJASUSI 20 WANATOA TAARIFA KWA ISRAEL NA MAERKANI - YAAPA KUMWUA NETANYAHU 📍IRAN
Watu 20 waliokamatwa mjini Urmia nchini Iran wanashikiliwa kwa tuhuma za kushirikiana na Israel kwa kutoa taarifa za kijeshi na usalama, hatua inayodhihirisha ongezeko la jitihada za Iran za kupambana na ujasusi wa kigeni ndani ya mipaka yake. Mamlaka za Iran zimesema kuwa kukamatwa kwa watu hawa kulifanyika kufuatia amri ya mahakama, na kwamba uchunguzi unaendelea ili kubaini iwapo kuna mashirikiano makubwa zaidi kati ya raia wa ndani na maafisa wa kigeni. Ripoti za Tasnim News Agency zinasema kuwa mitandao kadhaa ya watu wanaodaiwa kuwa mamluki wa Israel imefungiwa, ikiwemo akaunti za mitandao ya kijamii, simu na njia nyingine za mawasiliano za kidijitali.
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: