RAIS WA YANGA ATUA ZANZIBAR ASHIRIKI MCHEZO WA NGAO YA JAMII.
Автор: Coconut Fm Zanzibar
Загружено: 2025-09-14
Просмотров: 577
Описание:
Rais wa Club ya Yanga SC, Injinia Hersi Said, ameshiriki katika mchezo wa Ngao ya jamii uliokutanisha timu ya Mlandege dhidi ya KMKM
Timu ya @kmkmsportsclub imeibuka na ubingwa wa ngao ya jamii baada ya kuwafunga watoto wa @mlandegefc ikiwa ni ufunguzi wa @pbz_premier_league msimu mpya wa 2025-2026
FT: Mlandege fc 0 vs Kmkm
Penati 3-5
#coconutfm
#zanzibar
#mamboyazenji
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: