SANGA ALIA NA BARABARA MAKETE
Автор: TBConline
Загружено: 2021-05-18
Просмотров: 489
Описание:
Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe, -Festo Sanga ametumia takribani dakika saba kuchangia bajeti ya wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, huku kilio chake kikubwa kikiwa barabara za jimbo hilo na mkoa mzima wa Njombe.
"Hatma ya heshima waliyonayo Wabunge na Mawaziri ni kazi na sio suti walizovaa, bajeti itekelezwe kama ilivyopangwa isiishie kwenye karatasi", amesisitiza Mbunge huyo wa Makete. Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): https://bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): https://apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconlinetz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: