Fredrick Mulla - Kutoswa
Автор: Fredrick Mulla
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 493
Описание:
Oya hadithi hadithi uongo njo utamu kolea
Ila kwanza ngojea
Acha niwape story kilichonitokea
Sio kila dem mwanangu ni waku mshobokea
So juzi niko zangu batani wazee
Na michuzi natafuta company wazee
Mr Chuzi nikaokota mchumba
Nyuma anajumba nikaona hii dhahabu mazee
Unaitwa nani? mrembo
Akacheka kidogo, naitwa Ashura Swalehe
Unaitwa nani handsome?
Nikaleta mikogo, niite Prince wa Starehe
Unamjua Dully, Mr Misifa? Ndio namjua
Mi ndo hizo sifa per se
Unakunywa soda ama Bia? BIA
Waiter, mletee liquor aisee
Verse 2
Kumbe dem ashanisoma mi napenda sifa
Na mi kichwani nishamchora nikimshika
Nitatumia vidole vingi ka nacheza FIFA
Nimtampelekea moto mpaka awashe shisha
Kwenye mfuko nilikuwa ka na kilo mbili
Mtu wa jiko choma nyama kama ya kilo mbili
Weka nyama mtoto shibe
Maana badae nina kazi ya kumla mwili
Nyama ikaliwa afu ikaja bili
Nikatoa pesa bila kujadili
Kila kitu kilikuwa kama 62
Nikatoa 64 niliongeza mbili
Akaniachia pochi ili nimsubiri
Leo namaliza mchezo kwa Bia mbili
Ilikuwa kaa saa sita, sa massa mawili
Nikasubiria mzigo mpaka alfajir
Na hakutokea wallahi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: