Kilwa Jazz - Lau Nafasi ( official Audio)
Автор: ZANZIBAR TIMES
Загружено: 2019-12-09
Просмотров: 826
Описание:
Napenda nipate lau nafasi
Nipate kusema nawe kidogo aah mamaa
Rohoni naumiaaaa
Hakika la kufanya bado sijaliona
Nimeona leo bora nikuite
Huenda punde roho yako ikadunda
Ikaja siku ukaja nipoza moyo mamaa
Rohoni naumiaaa
Mmmh
Katika kuja kwako wewe wangu mpenzi
Ni kama mganga utayenitibu katika maradhi yanayonisibu
#zilipendwa #launafasi #hamisbss
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: