Rems - Basi ( Official Audio )
Автор: Rems
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 259
Описание:
Catch up with Rems on
Intagram : https://www.instagram.com/issrems?igs...
Tiktok : https://www.tiktok.com/@issrems?_r=1&...
Ooooo
Mmm
Laala laala laa
Ooooo
Aaa aaa aaah
Aa mmh
Mangapi tulifanya pamoja
Kila sehemu nilikufanyia ukole
Kumbe ndio fadhila za mja
Mwisho wake najiambia pole
Dhamira ya kwako na ya kwangu
Haikufikiana ukatia udole
Labda haikupangwa kuwa kwangu
Hatima yangu nisijichoree
Mi naona Mungu angesimamia
Mtoto wa watu nitajajifia
Siyawezi machungu
Siyawezi machungu
Kama nafsi ameidhulumia
Mwili wangu ni mashuhudia
Kagawanya mafungu
Kagawanya mafungu
Leo kalichimba kaburi kwa mikono mwenyewe
Washashindwa waganga msaada ni yeye
Kama vita mi mbwa yeye baki ni mwewe
Sitabishia uamuzi nibaki nielewe
Subira ikavunja kamati tumeshindwa kuelewana
Bila bila kuezeka mabati hata boma hakuna
Eti hasira kushikika hutaki ukaniachiaga na laana
Hii zote hila kupunguza hutaki
Na mimi sitaki
Wewe basi nenda
Basi basi
Si umeniacha mwenyewe
Basi basi
Ooo Nimekubaliana na wewe
Basi basi
Ooo We basi basi
Basi basi
Yeeeh
Ama kosa langu kuamini milele
yani changama hutoyachomoa
Leo mwiba umekazia
Ama kazi yangu ya pepo ya dhati
Ya mola alionipea leo shetani amevamia
Penzi umeniekea tanuri
Ndio unaniunguza mama
Bora ungeniacha tu kwa uzuri
Nisingejiuguza wala
Tena huku hesabu mazuri
Ukayapuuza sana
We kumi na yangu sifuri
Bado umeifuta yalaa
Subira ikavunja kamati tumeshindwa kuelewana
Bila bila kuezeka mabati hata boma hakuna
Eti hasira kushikika hutaki ukaniachiaga na laana
Hii zote hila kupunguza hutaki
Na mimi sitaki
Wewe basi nenda
Basi basi
Si umeniacha mwenyewe
Basi basi
Ooo Nimekubaliana na wewe
Basi basi
Ooo We basi basi
Basi basi
Yeeeh
#baibuda #bongofleva #rems #afrosound #afrobeat #hitsong
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: