Yesu anageuka sura nasi tugeuze mwenendo wetu | S01EP02 Dominika ya 2 ya Kwaresima.
Автор: Lux Fidei
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 180
Описание:
Lux Fidei / Mwanga wa Imani: ni jukwaa la Uinjilishaji wa Kikatoliki Mtandaoni.
Linatangaza na kufafanua Imani ya Kikatoliki kwa njia ya Video, Podikasti, Makala, Mahubiri na Kozi.
Maudhui yake yamejengwa juu ya Maandiko Matakatifu, Mapokeo na mafundisho rasmi ya Kanisa. Linawaunganisha Waamini na Makasisi (Mapadre) / Wahudumu wa Kichungaji kwa Maswali, Majibu na Malezi ya Imani.
#Luxfidei #MwangawaImani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: