NMB MAPINDUZI CUP 2026 | Mtangazaji Peter Otai alivyosherehesha penati zote 10, Azam FC vs Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 4366
Описание:
#NMBMapinduziCup2026Final: Msikie mtangazaji Peter Otai akizisherehesha penati zote 10 kwa lugha ya Kiingereza.
Penati za Yanga zimepigwa na Emanuel Mwanengo, Prince Dube, Pacome Zouzoua, Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto ambaye ndiye alifunga ya ushindi.
Penati za Azam FC zimepigwa na Yahya Zayd, Twalib Nuru, Landry Zouzoua, Sadio Kanoute na Ngita Kamanya.
Yanga walinyakua taji kwa mikwaju ya penati 5-4 ndani ya dimba la Gombani Pemba.
#MapinduziCup2026 #NMBMapinduziCup2026 #AzamYanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: