Kifo cha mwanafunzi Njoro: Familia ya Brenda yakosoa shule
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 5000
Описание: Kizaazaa kilishuhudiwa katika shule ya upili ya wasichana ya njoro kaunti ya nakuru baada ya wakaazi kuandamana kulalamikia kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule hiyo. Familia ya Brenda akinyi, inasema mwana wao alifariki alipokuwa akitibiwa, ila wanasema alikuwa amewaeleza wasimamizi wa shule hiyo kuhusu maumivu ila hakupata usaidizi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: