MTOTO MWAKA 1 HAJA NDOGO na KUBWA ZOTE ZINATOKA MBELE - MKANDARASI AAMUA KUMSAIDIA -WAPO WATOTO 100+
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 294
Описание:
MTOTO MWAKA 1 HAJA NDOGO na KUBWA ZOTE ZINATOKA MBELE - MKANDARASI AAMUA KUMSAIDIA -WAPO WATOTO 100+
@ROSEMARY JOSEPH - RUVUMA
CC; BAKARI MAHUNDU
Ukiwa na maswali na ukihitaji kusaidia kituo hiki wasiliana na Rosemary Joseph = 0788 173 139
Ilikuwa ni mwaka 2014 aliamua kufanya maamuzi ya malezi kwa watoto wenye ulemavu ama changamoto za kiafya .... msukumo mkubwa ulitokana na yeye kuzaliwa na wazazi wenye ulemavu mama yake mzazi alikuwa ni mwenye ulemavu wa macho na shida ya afya ya akili ambapo baba yake alikuwa nimlemavu pia..
Kabla ya kuanza harakati za malezi alipatwa na kisa cha kunusurika kumkanyaga mtoto ambaye alikuwa ni mlemafu aliyeachwa pekee nyumbani ndipo alipoanza jukumu la malezi kwa mtoto huyo....hakuishia hapo aliendelea na malezi kwa watoto wengine mpaka kufikia sasa anawatoto zaidi ya mia moja
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: