Magoli ya Buba | Yanga SC 2-0 Cosmopolitan | CRDB Bank Fed. Cup 18/02/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 50112
Описание:
Buba Jammeh ametua Yanga na katika mchez wake wa kwanza kabisa akiwa Jangwani amepiga mabao mawili na kuipa Yanga ushindi wa 2-0 dhidi ya Cosmopolitan inayoshiriki First League (Daraja la Pili).
Ushindi huu unaivusha Yanga kutoka raundi ya 64 bora hadi 32 bora la michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: