AFYA YA AKILI KATIKA MALEZI NA MAKUZI, DR PASCAL KANG'IRIA #
Автор: Radio5 tz
Загружено: 2025-06-12
Просмотров: 1695
Описание:
Afya ya akili siyo ukosefu wa magonjwa ya akili tu, bali ni hali ya mtu kuwa na uwezo wakukabiliana na changamoto za maisha, kufanya kazi kwa ufanisi na kushiriki vyema katika jamii. katika kipindi hiki cha mabadiliko ya kijamii na uchumi tunahimizwa kuwekeza muda na upendo kwa watoto wetu kwa kuhakikisha wanapata msaada wa kihisia na kijamii unaowajenga kiakili.
SOS CHILDREN'S VILLAGES WANAKULETEA TAARIFA HII
#afyaakili #sihaangavu #maishabilajazibainawezekana #usitemedawa2025 #malezinamakuzi
#habari #michezo #gtz #magazetiyaleo #bungelive #siasa #burudani #music #5sports #radio #radiolive #radio5fm #ccm #chadema #chamachauma #actwazalendo #burudani #wachokonozi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: