KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA
Автор: SHASAKI TV
Загружено: 2025-10-13
Просмотров: 1434
Описание:
Kumbukizi ya Baba wa Taifa – Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tunamkumbuka shujaa wa kweli, mzalendo na kiongozi aliyesimama kwa misingi ya utu, haki na usawa. Mwalimu Nyerere aliongoza harakati #eastafricanhistory #swahiliafrica #kiswahili #lughayakiswahili #swahiliculture #swahililanguage za uhuru wa Tanganyika na baadaye kuwa Rais wa kwanza wa Tanzania.
Kupitia sera za Ujamaa na Kujitegemea, alijenga misingi ya taifa lenye mshikamano na maadili.
Leo, tunakumbuka urithi wake wa amani, upendo na uzalendo.
*#KumbukiziYaNyerere
*#BabaWaTaifa
*#MwalimuNyerere
*#TanzaniaHistory
#UJAMAA
#TanzaniaPride
#October14
#KiongoziWaWote
#LegacyOfNyerere
*#AfricasGreatest*.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: