KURASA ZA MWISHO 21/9/2019: Afisa Habari mpya wa Yanga kikaangoni, amchambua Haji Manara
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-09-21
Просмотров: 9455
Описание:
Ni Hassan Bumbuli ambaye kama kawaida leo alikuwepo kwenye kipindi cha Kurasa za Mwisho ambacho amezoea kuwepo, kwaajili ya kuchambua habari za michezo zilizoshika zaidi kwenye magazeti ya leo.
Moja kati ya mambo yaliyoibuka ni nafasi yake kwenye klabu ya Yanga ambapo ameeleza kwa kina jinsi atakavyotekeleza majukumu yake na jinsi atakavyokuwa tofauti na mtangulizi wake Dismas ten.
Mbali na ten, Bumbuli amesema yeye atakuwa tofauti na Msemaji wa Simba Haji Manara huku akimchambua Haji Manara ni mtu wa aina gani na mchango wake kwenye soka la Tanzania ni upi.
Kama kawaida kipindi hiki pia kimeenda mtaani kwenye vibanda vya magazeti kuzungumza na mashabiki, ambapo mashabiki wa Yanga wameonakena kutomfahamu.
Kurasa za Mwisho ni kila Jumamosi saa 3:30 asubuhi, Azam Sports 2
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: