Mwanafunzi 1 afariki ,11 wakijeruhiwa walipokuwa wakisubiri msafara wa rais
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 254
Описание:
Mwanafunzi mmoja ameaga dunia huku wengine 11 wakijeruhiwa baada ya kuanguka ndani ya shimo la maji taka baada ya sehemu ya juu ya shimo hilo kuporomoka walipokuwa wakisubiri msafara wa rais William Ruto.
Rais Ruto aliyekuwa akielekea katika shule ya upili ya wasichana ya kapsabet, alilazimika kukatiza safari yake kwa muda na kuwahutubia wanafunzi wa shule hio akitoa pole kwa waathiriwa na baadae kuahidi shillingi milioni 5 kwajili ya miradi ya maendeleo ya shule hio.
James Mwangi na kina cha taarifa ile.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: