Jinsi ya kugundua almasi bandia na halali
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2019-07-04
Просмотров: 18867
Описание:
Mtaalamu wa madini Mgodi wa Williamson Mwadui, Timoth Kabondo amezungumza na Daily News Digital na kueleza jinsi ya kugundua madini ya almasi halali na yale ya bandia ili kuepukana na matapeli.
Kabondo ameeleza pia mchakato mzima wa kupatikana madini ya almasi kuanzia uchimbaji hadi yanapofikishwa sokoni.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: