Ee Bwana Ulitafakari by J.D.Mkomagu
Автор: Mike King'oo
Загружено: 2021-08-05
Просмотров: 1392
Описание:
Wimbo wa Dominika ya 19
Organist-Mike King'oo
Maneno ya wimbo
Ee Bwana, ee Bwana, Ee Bwana ulitafakari agano x 2
Usisahau milele, uhai wa watu wako walioonewa x 2
Ee Mungu usimame, ujitetee mwenyewe, usiisahau sauti ya watesi wako.
Kwa nini ee Mungu umetutupa kabisa, umesimama mbali nasi?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: