USIYOYAJUA HUKUMU ya MAUAJI ya MILEMBE - MREMBO DAYFATH na WENZAKE KUHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA…
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-09-11
Просмотров: 16212
Описание:
USIYOYAJUA HUKUMU ya MAUAJI ya MILEMBE - MREMBO DAYFATH na WENZAKE KUHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA…
CREDIT: IMEANDALIWA NA P. Shigela NA J. Mniwasa
WANAPATIKANA
Ubuntu Institute - Mwanza
📌 WANATOA:
⚖️ Certificate na Diploma ya Sheria
📞+255765774723
Kutuma maombi online, gusa link 👇
www.uisj.education/UbuntuApplication.html
Agosti 27, 2027 ilitoka huku ya mauaji ya aliyekuwa Afisa Ugavi katika Mgodi wa GGM – Geita, Milembe Suleiman (43) Mkazi wa Geita ambapo washitakiwa watatu walikutwa na hatia kwa kutenda kosa la mauaji na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa.
Waliotiwa hatiani katika kesi hiyo namba 39 ya mwaka 2023 ni Dayfath Maunga (30), Safari Labingo (54) na Genja Deus Pastory.
Sasa, nyuma ya pazia kuna mambo mengi yalijiri mahakamani ambayo leo tunayaleta kwako kama usiyoyajua ‘USIYOYAJUA HUKUMU YA MAUAJI YA MILEMBE - MREMBO DAYFATH NA WENZAKE WAWILI KUHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA’......
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: