Chanzo-Lightwave sound|Deep swahili gospel
Автор: Lightwave Sound
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 238
Описание:
Lyrics
(intro)
mmmmmhh uuuuuh
(verse)
Hivi ni nini
Niliwakosea wao
Na ni wapi(bwana)
Niliwaudhi
Mbona kama kuwapenda niliwapenda sana
Ila bado wamedhamiria kuniyumbisha
Nakuomba baba(mhhh)
Nizibe masikio(mmh)
Nisisikie maneno yao
Bali neno lako tu
(Chorus)
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
(Verse)
Baba nakuomba
Husitoke upande wangu
wote walishaenda
Nikabaki na wewe tu
Sio marafiki
wala ndugu zangu
Wote walinigeuka
Nikabaki na wewe tu
Nakuomba baba(mmh)
Nizibe masikio(mmh)
Nisisikie maneno yao
Bali neno lako tu
(Chorus)
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
(Bridge)
Nakuomba baba
Nizibe masikio
Nisisikie maneno yao
Bali neno lako tu
(Chorus)
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
Napigana vita nisivyovijua chanzo
Natembezwa kwenye giza nisione mwisho
Nimeumizwa na kubezwa
Hata na wasionijua wananisema
#powerfulworshipsongs #gospelmusic #gospel #goviral #swahiliworshipsongs #song #worshipmusic #worship #christiansongs #christianworshipsongs #kuabudu #kusifu #upakolive #jesus
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: