ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mkasi | SO9E13 With Wagosi Wa Kaya Extended Version

Автор: MkasiTV

Загружено: 2014-09-16

Просмотров: 39079

Описание: Tasnia ya Muziki Tanzania ilipata sura mpya na mtazamo mpya tangu kipindi cha miaka ya 2000 pale tulipoona watu kama Mr. Ebbo, Professa Jay, Juma Nature, Daz Nundaz na wengineo wakianza kuimba nyimbo zenye Mrengo wa kiharakati zaidi na kukubalika za jamii kwa upana zaidi. Lakini hakuna waliotikisa anga za muziki kwa nyimbo zenye Ujumbe mzito na Ushawishi wa Kiwanaharakati na kisiasa kama hawa Wawili, nao ni John Evans Simba (Dakta John) na Fredrick Gerson Mariki (Mkoloni) au kama wengi tunavyowafahamu kama ​WAGOSI WA KAYA.

Kwanza kabisa, Wagosi Wa Kaya walianza kwa kubadili aina ya Ujumbe uliokuwa unapatikana kwenye muziki wa kizazi kipya, kwa kuongelea mambo ya kila siku yanayosumbua jamii bila kuweka kificho cha aina yoyote. Pili ni aina ya lugha na lafudhi waliyotumia, ambapo matumizi ya Lafudhi ya Kidigo na Kisambaa. Hilo na kuchanganya na lugha ya ucheshi ya kufikisha ujumbe, vilimfanya msikilizaji kuupokea ujumbe ilihali akiwa anaburudika.

Dkt John na Mkoloni wana historia ndefu na Tanga, John alikulia akikata Mashamba ya Mkonge na kupata elimu ya msingi ilihali akiendelea kupambana na changamoto za kimaisha katika familia yao. Alishawahi kunukuliwa akisema kuwa aliwahi kufanya kazi kwa kukodishwa, yaani wanachukuliwa na mtu kwenda kufanya kazi kwenye mashamba, na hatimae aliewapeleka alilipwa na yeye kuwalipa vibarua ujira wao huku akibaki na sehemu ingine kama faida yake. Kwa upande wa Mkoloni, ingawa sehemu kubwa ya familia yake, hasa wazazi wakiwa Jijini, yeye alikulia Tanga ambako jamii yao ilikua ina tawi pia. Elimu pia alipatia mkoani Tanga katika shule ya Popatlal.

Kuingia katika sanaa, Kuibuka kwa kundi hili katika sanaa za muziki kulianza na mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwenye fani. John alianza kama Densa na mara nyingi alijiweka katikati ya shughuli na kutoa burudani kutipia ufundi wake wa “Kubreak Dance”. Ni Baada ya kukutana na Fredrick aliekuwa na kundi la Tanga Line, na wengi mtamkumbuka Dani Msimamo ambae pia ni mmoja kati ya vinara wa kundi hilo. Baada ya hao wawili kubadilisha mistari iliyokuja kuzaa tungo ya “TANGA KUNANI” ndipo wakaona ipo haja ya kutoka kama kundi na kufanya kazi pamoja kama Wagosi wa Kaya. Kuibuka kwa kundi hili sio tu kulisaidia kuiweka Tanga katika Ramani ya Muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki, lakini pia kulisiaidia kwa kiasi kikubwa kuibua ukweli juu ya Mji huu Mkongwe ambao hapo awali uliwahi kuvuma kama Kitovu cha Biashara, Kilimo, Viwanda na Uchukuzi.

Katika kipindi chao kama kundi, Wagosi walipata mafanikio makubwa sana wakiwan chini ya muandaaji muziki Profesa Ludigo na Studio za MJ, na moja kati ya vibao vilivyowapa umaarufu sana ni pamoja na TANGA KUNANI, WAUGUZI, TRAFIKI. Hivi karibuni baada ya kupotea kwa muda, wamejiunga tena na kurudi wakiwa wanaandaa tungo kadhaa za kuwarejesha tena kwenye ramani. Ingawa wanakiri kuwa kurejea baada ya kuwa nje ya “game” kwa muda mrefu ni kazi, kwani kuna wale waliokuwepo nao wakaendelea kuwepo, na kuna wengi wapya walioibuka kwa kasi ya juu na bado wapo juu. Mnamo April mwaka 2014 waliachia Video mbili mpya za nyimbo za “Bao” na “Gahawa”, na wanaahidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii kuendelea kuwaburudisha mashabiki wao wa zamani na wapya.

Katika Mkasi TV, tulipata fursa ya kuzungumza nao, Salama, Mubarak na John waliweza kuhoji mengi zaidi. Sikia na kutazama toleo hili kamili la video hapa hapa.

FURAHIA

L . O . V . E

Follow MkasiTV on
Facebook :   / mkasitv  
Twitter : @MkasiTV

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mkasi | SO9E13 With Wagosi Wa Kaya Extended Version

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

KIMENUKA;DUDUBAYA AMJIBU MWIJAKU AACHIA MABOMU 4 AMCHANA LIVE MADUDU YOTE LIVE.

RHUMBA PACHANGA NONSTOP MIX - BAVON MARIE MARIE et NEGRO SUCCESS

RHUMBA PACHANGA NONSTOP MIX - BAVON MARIE MARIE et NEGRO SUCCESS

Mkasi | S10E08 With Nay Wa Mitego - Extended Version

Mkasi | S10E08 With Nay Wa Mitego - Extended Version

POLEPOLE LAZIMA UKWELI USEMWE

POLEPOLE LAZIMA UKWELI USEMWE

DARASA LA UONGOZI NA  MH.HUMPHREY POLEPOLE. Part 4

DARASA LA UONGOZI NA MH.HUMPHREY POLEPOLE. Part 4

ODM On Fire; Kalonzo Vs Matiang'i: The Battle For The 2027 Opposition Ticket | Newspaper Review

ODM On Fire; Kalonzo Vs Matiang'i: The Battle For The 2027 Opposition Ticket | Newspaper Review

WAGOSI WA KAYA - GAHAWA [Official Music Video]

WAGOSI WA KAYA - GAHAWA [Official Music Video]

ADAM JUMA : VIDEO YA ALIKIBA TUMESHOOT SIKU 9 MFULILUZO, MAUZAUZA KIBAO YALITOKEA LOCATION

ADAM JUMA : VIDEO YA ALIKIBA TUMESHOOT SIKU 9 MFULILUZO, MAUZAUZA KIBAO YALITOKEA LOCATION

H.BABA: FLORA MVUNGI alinisaliti, sikurudi nikaacha kila kitu, anawapeleka watoto KANISANI kunikomoa

H.BABA: FLORA MVUNGI alinisaliti, sikurudi nikaacha kila kitu, anawapeleka watoto KANISANI kunikomoa

Жума жыйынтыгы // Түз эфир // 11.01.2026

Жума жыйынтыгы // Түз эфир // 11.01.2026

UTACHEKA ,UFE VITUKO VYA MTANGA NA ZIMWI

UTACHEKA ,UFE VITUKO VYA MTANGA NA ZIMWI

Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version

Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version

Wagosi wa kaya - Walimu

Wagosi wa kaya - Walimu

MATANGAZO YA ASUBUHI | 12 01 2026 | AWAMU YA KWANZA

MATANGAZO YA ASUBUHI | 12 01 2026 | AWAMU YA KWANZA

DUDU BAYA AJILIPUA ATAJA MACHAFU YA WASANII BORA NIFE AJIITA PUTINI MWANAHARAKATI SIWEZI KUOA NINA..

DUDU BAYA AJILIPUA ATAJA MACHAFU YA WASANII BORA NIFE AJIITA PUTINI MWANAHARAKATI SIWEZI KUOA NINA..

БЕШТАПАН МОЩНЫЙ КОНЦЕРТ 20 ЖЫЛДЫК

БЕШТАПАН МОЩНЫЙ КОНЦЕРТ 20 ЖЫЛДЫК

Live: Gachagua Interview Engaging with Media Stations to Answer Questions

Live: Gachagua Interview Engaging with Media Stations to Answer Questions

Mkasi - SO5E03 With P Funk

Mkasi - SO5E03 With P Funk

Отунбаева капотко жатып, Илмиянов  мага шоопур болуп.. | Сагынбек Момбеков | Ernis Kyiaz Podcast

Отунбаева капотко жатып, Илмиянов мага шоопур болуп.. | Сагынбек Момбеков | Ernis Kyiaz Podcast

MZEE SAID!SIMBA TUMEWAKIMBIA YANGA WANGETUFUMUA NYINGI/CHAMOU ALISTAILI KADI UMEME AMEPIGA UBALOZINI

MZEE SAID!SIMBA TUMEWAKIMBIA YANGA WANGETUFUMUA NYINGI/CHAMOU ALISTAILI KADI UMEME AMEPIGA UBALOZINI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]