UJASIRIAMALI NI NINI? - Richard Mabala
Автор: Success Path Network
Загружено: 2021-03-08
Просмотров: 21916
Описание:
Ili tufahamishane kuhusu ujasiriamali ni lazima tuambiane ukweli kuwa sio rahisi na ni lazima kufanya kazi ili vitu vitokee. Na mjasiriamali ni mtu ambaye anakuwa mbeba maono kwa maana ndiye anayejua wapi chombo kinakwenda.
.
Karibu umsikilize Richard Mabala, mwalimu na mwandishi wa vitabu maarufu vya "Hawa The Bus Driver" na "Mabala The Farmer" akifafanua maana ya ujasiriamali na mjasiriamali ni nani anatakiwa kuwa na tabia zipi.
.
Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
.
Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
Click hapa: / Канал
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL: / successpath_network
EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP : (+255)759191076
.
TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMAZA USOMAJI VITABU? -...
⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HIZI UFANIKIWE
⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamasa Ya Leo EP. 39
⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4) KABLA YA NDOA
⚫️ AFYA: • Njia Rahisi za Kuondoa Sumu Mwilini
#Mjasiriamali #Ujasiriamali #Biashara
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: