ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : "Nilitaka Kuwa Mwanasheria" | SALAMA NA ZUCHU PART 1

Автор: YahStoneTown

Загружено: 2022-10-17

Просмотров: 347297

Описание: #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460

Kuna usemi mmoja unaenda kama hivi, kulea mimba si kazi ila kazi ni kulea mtoto, tafsiri yangu naamini mhenga hapo alikua anatuambia kazi pengine inaanza baada ya kupata kazi, tunaelewa jinsi gani ambavyo kupata kazi huwa ni kazi. Tena kazi yoyote, haijalishi kama ni ya upishi au ulinzi au ufundi au hata u daktari, mi nawajua madaktari kadhaa ambao nao pia wanapata shida kupata hizo kazi. Na baada ya kupata shida zote hizo wakati wa kutafuta kazi basi kazi halisi huanza pale unapoipata sasa hiyo kazi yenyewe.

Kazi ya Zuchu ilianza kabla hajaipata hiyo kazi yenyewe na ilikua kazi haswa kuipata na Mama yake Bi Khadija Kopa ndo alikua kinara kwenye hiyo connection ambayo Binti yake alikua anaitaka ili aweze kuwa msanii wa Diamond, na hayo ndo yalikua maneno yake hasa, toka alivyorudi kutoka Nigeria kwenye mashindano ya kusaka vipaji na alikua hajielewi elewi kwa kiasi flani ni kitu gani alikua anataka kufanya na kama basi kutakua na la kufanya inabidi liwe kutoka WCB na sio sehemu nyengine yoyote na agulia nini kilitokea? WCB aliipata na kilichokua kinatakiwa baada ya hapo ni UVUMILIVU wa HALI YA JUU.

Kwenye vitabu vyangu vyote Bi Zuhura Othman Soud ndo muandishi wangu BORA wa KIKE kuwahi kutokea katika kizazi chetu hiki cha Bongo Flava, na naweza sema hivyo wakati wowote iwe usiku au mchana, kipaji hicho ndicho kilichonifanya mimi nistaajabu sana na kutaka kuongea nae na kumuuliza yote yale ambayo nilikua nataka kumuuliza, ingawa humo humo nilikua nishajijibu kutoka kwenye historia ya familia atokayo ingawa hiyo haikutakiwa ndo iwe lazima, lazima mtoto wa Khadija Kopa na Othman Soud awe muandishi mzuri maana wazazi wake wamejaa vipaji tena na Baba yake ndo muandishi mkubwa wa nyimbo nyingi za Mama yake zilizowahi kuvuma.

Kwa umri wake wakati mwengine hujiuliza kajuaje haya maneno yote, anajua maana yake hii? Kasikia wapi hili neno au pengine je huwa anamfikiria Mama yake (ambaye ndo kipenzi chake na ndo amemlea) wakati anaandika hii? Anaona aibu? Je huwa wanaongelea hayo mashairi wanapokua wawili tu? Mazungumzo huendaje?

Sasa turudi kwenye kazi hiyo ya kuanza kuifanya baada ya kuipata sasa WCB, ukiachana na msoto mrefu alopitia, WCB wenyewe walikua waangalifu sana kwenye mipango ambayo ilikua ikiandaliwa kwaajili yake, yeye ndo msanii wa KWANZA wa KIKE kuwahi kutokea kwenye label kwahiyo ukichana na kipaji pia uwekezaji wa hali ya juu ulitakiwa ufanyike and boy they did that. Toka single yake ya kwanza mpaka wakati naandika hii Zuchu hakuwahi kuwa na kazi chafu, album yake ya kwanza alotoka nayo ya I am Zuchu ilikua na nyimbo 7 ambazo zote zilienda kufanya vizuri, na mpaka leo kila wimbo ambao anaachia ni wa moto, tukisema namba moja nadhani namba zake pia zinasema hivyo za kila sehemu, hakuna chumvi yoyote ndani yake.

Vipi sasa anaweza ku maintain hii schedule yake ilojaa mambo kuanzia asubuhi mpaka usiku? Kutoka Jumatatu mpaka Jumapili? Je ana muda kwaajili yake? Ana mpenzi? Mipango yake je? Endelevu? Vipi hizi title ambazo tunampa anazichukuliaje? Kuna pressure yoyote? Na kuhusu familia je? Kuna pressure yoyote kwenye baadhi ya mambo na maamuzi? Na kwenye label nako? Watu na furaha na kazi yake?

Kwa kuanzia msimu wetu wa TANO nadhani introduction ya Ms Zuchu inatufaa sana na yangu matumaini uta enjoy pia.
Asante kwa support ya toka siku ya kwanza ulipoanza kutupa macho na masikio yako.
You’re the best, nakukumbusha tu kwamba mengi yajayo yatakufurahisha In Shaa Allah maana kazi ndo kwaanza imeanza.

Love,
Salama

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : "Nilitaka Kuwa Mwanasheria" | SALAMA NA ZUCHU PART 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Sheikh Kipozeo:

Sheikh Kipozeo: "Sisi Ni Watu Wa Mwisho Wa Dunia, Kiama Bado" | SALAMA NA SHEIKH KIPOZEO PT 2

Zuchu :

Zuchu : "Nilipeleka Nyimbo Kama Tano, Diamond Alizikataa Zote" | SALAMA NA ZUCHU

DUNIA (Ep 141)

DUNIA (Ep 141)

This Dubai trip healed me in ways I can’t explain ✨

This Dubai trip healed me in ways I can’t explain ✨

BINTI MASIKINI APATA BAHATI YA KUPENDWA NA MKAKA SUPER STAR TAJIRI | FULL MOVIE KWA KISWAHILI

BINTI MASIKINI APATA BAHATI YA KUPENDWA NA MKAKA SUPER STAR TAJIRI | FULL MOVIE KWA KISWAHILI

SHOPPING YA PAULA NA MAMA YAKE DUBAI YAISTUA FAMILIA YAMUONYA MARIOO UTAFILISIKA WATUMIA MAMILIONI

SHOPPING YA PAULA NA MAMA YAKE DUBAI YAISTUA FAMILIA YAMUONYA MARIOO UTAFILISIKA WATUMIA MAMILIONI

Mwamposa na Salama, Asimulia Maisha yake, Kazi Kwa Uchungu - MAMA I MADE IT (Episode 2)

Mwamposa na Salama, Asimulia Maisha yake, Kazi Kwa Uchungu - MAMA I MADE IT (Episode 2)

FULL SHOW YA ZUCHU DAKIKA 50 BILA KUCHOKA YANGA DAY KWA MKAPA | D VOICE AINGIA KIFALME NA SINGELI

FULL SHOW YA ZUCHU DAKIKA 50 BILA KUCHOKA YANGA DAY KWA MKAPA | D VOICE AINGIA KIFALME NA SINGELI

Mfahamu Aunty:

Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1

🛑AOMBA KUWAONA BACCA NA NONDO MWANA WA MFALME MOROCCO,SIKIA ALICHO KISEMA

🛑AOMBA KUWAONA BACCA NA NONDO MWANA WA MFALME MOROCCO,SIKIA ALICHO KISEMA

EXCLUSIVE: DIAMOND PLATNUMZ AANIKA UKWELI WOTE MAPENZI YAKE NA ZUCHU/ AMEOMBA SANA MSAMAHA

EXCLUSIVE: DIAMOND PLATNUMZ AANIKA UKWELI WOTE MAPENZI YAKE NA ZUCHU/ AMEOMBA SANA MSAMAHA

Wanawake 13 Waliotoka kimapenzi na DIAMOND,Utashangaa HAWA,ZARI,WEMA SEPETU,HAMISA MOBETTO,NAJ...

Wanawake 13 Waliotoka kimapenzi na DIAMOND,Utashangaa HAWA,ZARI,WEMA SEPETU,HAMISA MOBETTO,NAJ...

ICU-CHUMBA CHA UMBEA | EXCLUSIVE: MBOSSO AFUNGUKA, BIFU LAKE NA ZUCHU, NIMEONDOKA WCB KISA ZUCHU

ICU-CHUMBA CHA UMBEA | EXCLUSIVE: MBOSSO AFUNGUKA, BIFU LAKE NA ZUCHU, NIMEONDOKA WCB KISA ZUCHU

NDOA[ EP 86] Love Story 💕💕💞💞 #pasarbrand #kiparabrand #lovestory #romanticstory

NDOA[ EP 86] Love Story 💕💕💞💞 #pasarbrand #kiparabrand #lovestory #romanticstory

Spend November With Me | Real Life, Real Vibes 💐

Spend November With Me | Real Life, Real Vibes 💐

MZEE WARIOBA ALIANDALIWA KUWA RAISI WA MPITO NCHINI TANZANIA

MZEE WARIOBA ALIANDALIWA KUWA RAISI WA MPITO NCHINI TANZANIA

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1

Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1

URAFIKI wa AALIYAH na ZUCHU umekufa sababu ya PENZI la DIAMOND? Kwanini alipotea? Afunguka yote

URAFIKI wa AALIYAH na ZUCHU umekufa sababu ya PENZI la DIAMOND? Kwanini alipotea? Afunguka yote

SIDE WIFE MASTER - OKAWA SHAZNAY, KENNETH NWADIKE, SARIAN MARTINS, CHIDI NWACHUKWU

SIDE WIFE MASTER - OKAWA SHAZNAY, KENNETH NWADIKE, SARIAN MARTINS, CHIDI NWACHUKWU

HISTORIA YA DIAMOND PLATNUMZ  HADI KUWA MAARUFU

HISTORIA YA DIAMOND PLATNUMZ HADI KUWA MAARUFU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]