Babalevo: Bungeni wanaona kama Kigoma imeleta Mbunge kituko, ngoja MIC ziwake
Автор: SamMisago
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 82064
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Babalevo amezungumza na wapambanaji wake wa Kigoma Mjini jijini Dodoma jioni ya jana mara baada ya kuapishwa, amesema kuwa kwa sasa wabunge wengi wabunge wengi wanaona Kigoma kama imeleta kituko lakini wasubiri MIC ziwake.
Aidha, Baba Levo amewashukuru wapambanaji wake kwa mchango wao katika safari ya ushindi na kuwaomba kuandaa mkutano wa shukrani utakaofanyika Kigoma Mjini, ili kuwashukuru wapiga kura kwa imani na sapoti yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: