NASAHA GHALI KUTOKANA NA ‘‘KIFO CHA IMAMU MKUU WA MASJID OMAR - ABDALLAH SERA’’
Автор: Darul Hadith Ununio
Загружено: 2025-05-04
Просмотров: 4644
Описание:
NASAHA GHALI KUTOKANA NA ‘‘KIFO CHA IMAMU MKUU WA MASJID OMAR - ABDALLAH SERA’’
Maneno muhimu sana yanayokumbusha juu ya kuhesabu nafsi na kufanya Ibada kwa ikhlas. Nasaha hizi zimetolewa kwa munasaba wa kifo cha aliyekuwa Imaam mkuu wa msikiti wa Jangwani (Masjid U'mar Ibn Khatwaab) Abdallah Sera Allah amrehemu na amsamehe madhambi yake.
Mzungumzaji, Sheikh Abuu Mus'ab Attanzaniy (Allah amuhifadhi) ameyaongea haya akiwa kituoni kwake Masjid Daarul Hadith Ununio baada ya shughuli za kifo cha Abdallah Sera (Allah amrehemu) kukamilika kwa mazishi ambayo yalifanyika katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: