SHULE MPYA YA MSINGI MKAKO KUANZA MACHI
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 38
Описание:
KAMATI YA SIASA RUVUMA YARIDHISHWA NA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA MKAKO
Kamati ya siasa Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Oddo Mwisho imekagua mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi katika Kata ya Mkako Halmashauri ya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.
Mradi huo unatekelezwa kupitia program ya BOOST kwa gharama ya zaidi ya shilingi milioni 408 unatarajia kukamilika Machi mwaka huu.
Utekelezaji wa mradi huo ulioanza Novemba 2025 umefikia zaidi ya asulimia 50
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: