TUNATAKA WAVUNAJI WANAOWEZA KUVUNA KWA USAHIHI MATUNDA YA PARACHICHI.
Автор: NJOMBE TC
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 24
Описание: Mkurugenzi wa Sehemu ya Mazao ya Bustani na Pareto kutoka COPRA Bi.Lilian Mpinga akiwa kwenye mafunzo kwa wavunaji wa parachichi yaliyofanyika Njombe Machi 03 - 04,2026,amesema mafunzo yanayoendela kutolewa kwa wavunaji wa parachichi maeneo mbalimbali yanalenga kuhakikisha wanakuwepo wavunaji wanaoweza kuvuna matunda kwa usahihi ili kulinda soko la parachichi inayozalishwa Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: