UYAISHIO mwilini ni MATOKEO ya ROHONI
Автор: PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Загружено: 2020-04-02
Просмотров: 11399
Описание:
".....Je! Abana na Farpari, mito ya Dameski, si bora kuliko maji yote ya Israeli? Je! Siwezi kujiosha ndani yake, na kuwa safi? Akageuka, akaondoka kwa hasira....." 2Wafalme 5:12
".....Watumishi wake wakamkaribia, wakamwambia, wakasema, Baba yangu, kama yule nabii angalikuambia kutenda jambo kubwa, usingalilitenda? Je! Si zaidi basi, akikuambia, Jioshe, uwe safi?" 2Wafalme 5:13
Unapokua na Prophet uko na mjumbe wa Mungu ambae Bwana amemthibitisha.. Hii ni faida kubwa kwako kwakua Nabii anajambo la upekee kwa Mungu anaposimama ni Mungu kasimama, anaposema ni Mungu amesema.
UNA NEEMA WEWE, UMEBARIKIWA WEWE.
#chief_prophet_suguye
#wrm_radio
#wrmtv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: