Interview Ya Kwanza ya ALIKIBA Baada ya Kuzindua CROWN MEDIA
Автор: Crown Media
Загружено: 2024-03-10
Просмотров: 7381
Описание:
Rais wa Crown Media Nd. Ali Saleh Kiba amezindua Biashara yake mpya ya Crown Media akisheherekea miaka 20 katika muziki tangu alipoanza kuimba mwaka 2004.
Crown Media inajumuisha Crown TV na Crown FM pamoja na Crown Digital.
Hii ni sehemu ya mahojiano ya kwanza aliyoyafanya na mtangazi nguli kutoka SNS ndg. Sky Tanzania.
Safari nyingine muhimu kwenye maisha ya Alikiba imeanza rasmi usiku wa jana, na yajayo yanapendeza.
#HapaNiNyumbani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: