ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar

Автор: JamiiForums

Загружено: 2016-09-02

Просмотров: 32547

Описание: Magufuli: Uchaguzi umeshakwisha na utakuja tena 2020, huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Uchaguzi umekwisha mimi nikachaguliwa kuwa Rais na naitwa John Pome Magufuli na nimefunga Makufuli yote na funguo nimeshatupa.

Nataka niseme Mhe Dk Shein, wewe ndie Rais na inawezekana umekuwa mpole kidogo, huo upole weka pembeni, unasapoti yangu yote, atakaekuchezea chezea niambie hata kwa kuninong'oneza.

Tushirikiane kwa nguvu zote, wanaojaribu kuchezea amani yetu, mimi niliwahi kwenda Libya, mojawapo ya nchi za Afrika zilizokuwa na raha ni mojawapo. Pakajitokeza watu wachache kwa kuahidiwa ahadi za uongo, Libya leo siyo mahali panapokalika, watu wanamwaga damu kila siku, watu walichezea amani, hata amani inalevya.

Rwanda wakati wa genocide walikufa watu wanaokaribia milioni moja, mmenichagua kuwa Rais wenu, nna wajibu wa kuwaeleza ukweli, wanaofanya chokochoko tunawajua wengine, wafatilieni wote wanaochomachoma washughulikiwe wote bila huruma. Mna bahati mna Rais mpole sana na hata sura yake nzuri tu na ni Rais alietoka Pemba, ni kitu gani kinatusumbua.

Mimi nilifanya nae kazi nikiwa naibu waziri na waziri, ninamfajhamu Dk Shein, mpeni ushirikiano. Kuna mtu alijifungia kwenye chumba alafu akasema ametoka Ulaya, msikubali kudanganywa, hivi karibuni alinunua Meli na zinafanya kazi, kuna maeneo mengi yamepelekwa maji na umeme, watu hamtaki kuyaona haya. Palikuwa na Prof Mbarawa hapa mkamkataa jimbo la mkoani(Mkanyageni) mkamkanyagia hukohuko, mimi nnafahamu umuhimu wake na nikachukua wizara tatu nikaziunganisha zote nikampa mtu aliekanyagwa huku.

Mpeni ushirikiano Dk Shein, imebaki miaka minne tu na kitu na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hiki ndio kipindi chake cha mwisho. Nawaomba wananchi tujenge umoja wetu. Tukienda kwa umoja wetu tutafanikiwa, tunataka tuimarishe uvuvi, mazao na serikali iliongeza hela kununua karafuu japo pato lake limeanza kushuka, tunataka tujenge hii nchi. Katika kipindi kifupi Pemba itakuwa kama Ulaya na wanaoharibu Pemba ni watu wachache sana.

Wengine wanasema uchaguzi utarudiwa, kwa kawaida ndoto huwa ni usiku lakini hizo ni ndoto za usiku, lakini ukimkuta mtu anaota mchana, huyo anatafuta ukichaa. Nampongeza sana nh Jecha kwa kusimamia uchaguzi na umeenda vizruri sana na kama kuna tuzo mheshimiwa Shein utatoa, Jecha umpe hizo tuzo. Napongeza sana vyombo vya ulinzi, mmefanya kazi nzuri sana, mmesimamia amani ya Tanzania kwa uzalendo mkubwa sana.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Hotuba ya Rais Magufuli Unguja, Zanzibar

Hotuba ya Rais Magufuli Unguja, Zanzibar

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

Uchaguzi mkuu Uganda. Katikka Dira ya Dunia TV

LIVE CROWN MEDIA : UAPISHO WA KIKEKE NA WATEULE WENZA MUDA HUU.

LIVE CROWN MEDIA : UAPISHO WA KIKEKE NA WATEULE WENZA MUDA HUU.

RAIS MAGUFULI AFICHUA SIRI KUHUSU DK. HUSSEIN MWINYI

RAIS MAGUFULI AFICHUA SIRI KUHUSU DK. HUSSEIN MWINYI "SIJWAHI KUWAPA HII SIRI"

AMKA NA BBC SWAHILI LEO IJUMAA/KIMENUKA UGANDA)MUSEVEN AKUBARI MZIKI...

AMKA NA BBC SWAHILI LEO IJUMAA/KIMENUKA UGANDA)MUSEVEN AKUBARI MZIKI...

🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 16,  2026

🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55....JANUARI 16, 2026

RAIS DKT MAGUFULI AKIZINDUA  JENGO LA MAKAO MAKUU YA  TARURA ENEO LA MJI WA SERIKALI - MTUMBA

RAIS DKT MAGUFULI AKIZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA ENEO LA MJI WA SERIKALI - MTUMBA

TBC safari - Usipojua kuogelea PEMBA unachekwa

TBC safari - Usipojua kuogelea PEMBA unachekwa

Kipindi , ziara ya Rais Dkt Magufuli kisiwani Pemba,sept 02,2016

Kipindi , ziara ya Rais Dkt Magufuli kisiwani Pemba,sept 02,2016

🔴LIVE: RAIS SAMIA KUTOA TAMKO JUU YA LISSU? MUDA HUU YUPO NA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA.

🔴LIVE: RAIS SAMIA KUTOA TAMKO JUU YA LISSU? MUDA HUU YUPO NA CHAMA CHA MAHAKIMU NA MAJAJI TANZANIA.

MAGUFULI: Msinichagulie shikamoo Zanzibar, nitapata shida...

MAGUFULI: Msinichagulie shikamoo Zanzibar, nitapata shida...

"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM

MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA

MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

LIVE: UHURU KENYATTA AKIPOKELEWA CHATO NA RAIS MAGUFULI

LIVE: UHURU KENYATTA AKIPOKELEWA CHATO NA RAIS MAGUFULI

Հարցազրույց Հայկ Կոնջորյանի հետ

Հարցազրույց Հայկ Կոնջորյանի հետ

MAGUFULI ALIVYOSIMAMISHA DALADALA, ABIRIA WAFUNGUKA MIMI NI CHADEMA ILA NIMEFURAHI

MAGUFULI ALIVYOSIMAMISHA DALADALA, ABIRIA WAFUNGUKA MIMI NI CHADEMA ILA NIMEFURAHI

'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli

'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli

Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein

Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein

Rais Magufuli ashindwa kujizuia, amwaga sifa kwa Lowassa

Rais Magufuli ashindwa kujizuia, amwaga sifa kwa Lowassa

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]