BBC kushirikiana na QTV,NTV
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2012-08-23
Просмотров: 1308
Описание: Kipindi cha Dira Ya Dunia kutoka idhaa ya Kiswahili ya BBC kinachoangazia masuala kutoka bara la Afrika, sasa kitawajia katika runinga ya QTV kuanzia siku ya jumatatu ijayo saa tano usiku.Hii ni kufuatia kandarasi iliyotiwa saini baina ya Kampuni na Nation Media Group na BBC.Kadhalika kipindi hicho kinapeperushwa katika runinga ya NTV kwa lugha ya kiingereza na kinaitwa FOCUS ON AFRICA, kuanzia saa tano na robo usiku, siku tano za kazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: