MBINU ZA KUBAINI KAMPUNI SAHIHI YA KUWEKEZA DSE TANZANIA | FORTIUS RUTABINGWA (05.12.2025)
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2025-12-07
Просмотров: 1032
Описание:
Katika video hii, Fortius Rutabingwa ametoa mwongozo ambao mwekezaji ambaye anahitaji kuwekeza kwenye hisa kwa kampuni moja anaweza kuutumia kwenye kuchagua kampuni sahihi zaidi ya kuwekeza.
Hata hivyo, Fortius anahimiza kwamba kwa mtu ambaye ni mpya kwenye uwekezaji wa hisa awasiliane na wataalamu kwa ushauri zaidi kabla ya kufanya maamuzi na uchaguzi wa makampuni ya kuwekeza.
Wasiliana na Fortius Rutabingwa kwa namna hii: +255620650616
Fortius Rutabingwa anatokea kwenye kampuni ya Orbit Securities.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: